#MuunganoCup Achana na mwana mfalme Dube… huyo hapo ukutani kushoto kwako ndiye mfalme pekee ‘mweusi’, kati ya watawala 12 walioitawala Zanzibar..
Anaitwa Sultan Sayyid Ali bin Hamoud Al-Busaidi.
Tukirudi kwa Prince Dube, leo ana kazi pevu dhidi ya timu yake ya zamani..
Je, unajua ataifanya nini!??
Mechi ni saa 2:15 usiku LIVE #AzamSports1HD
#MuunganoCup2026 #KomneLaMuungano #SokaLinatuunganisha

(Feed generated with FetchRSS)