#MuunganoCup Kama Yanga kuna Prince Dube….. Azam FC kuna huyu hapa, ‘a man from Congo’. Anaitwa Jean Jaques Ngita Kamanga… !!!
Hadi sasa wote wawili wana magoli mawili kila mmoja kwenye michuano hii.. hapa naziona mbio za ufungaji bora japo kuna mmoja lazima aage mashindano leo.
Je, Ngita ataendeleza moto wake hadi kwa Yanga!!?
Ni Dar Derby nje ya Dar saa 2:15 usiku LIVE #AzamSports1HD
#MuunganoCup2026 #KomneLaMuungano #SokaLinatuunganisha

(Feed generated with FetchRSS)