#HABARI:Waziri wa Madini Mhe. Anthony Mavunde amepongeza juhudi za Mhe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan, kwa mchango wake katika kukuza Sekta ya Madini ambapo kwa Mwaka wa Fedha 2023/2024, Sekta ya Madini ilikuwa ikichangia asilimia 9.1 kwenye Pato la Taifa.
Kwa mujibu wa Taarifa kutoka Shirika la Taifa la Takwimu (NBS) hadi kufikia mwaka 2024 Sekta ya Madini imefanikiwa kuchangia asilimia 10.1 kwenye Pato la Taifa.

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *