Waziri wa Madini, Anthony Mavunde amepongeza ‘dedicate’ mafanikio ya sekta ya madini kwa Rais Samia Suluhu Hassan akibainisha kuwa mchango wa sekta hiyo kwa Mwaka wa Fedha 2023/2024 ulikuwa asilimia 9.1 kwenye na tangu mwaka 2024 sekta hiyo imeongeza mchango wake na kufikiria asilimia 10.1.

Msikilize hapa wakati akifunga uwasilishaji wa hotuba ya wizara hiyo bungeni jijni Dodoma.

Mhariri @moseskwindi

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *