MSHIKEMSHIKE: Baada ya Dabi ya Kariakoo jana, Simba SC kumfunga Yanga SC, na kutwaa ubingwa wa Kombe la Muungano, upi utabiri wako wa mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Mei 3?
Tuandikie maoni yako hapa na sisi tutayasoma kwenye kipindi cha Mshikemshike saa 3:00 usiku LIVE #AzamSports1HD
#Mshikemshike

(Feed generated with FetchRSS)