#MuunganoCup Mgeni Rasmi kwenye mchezo wa fainali ya Kombe la Muungano 2026 ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Emmanuel Nchimbi.
Fainali ni Yanga vs Simba , Aprili 29, 2026.
#MuunganoCup2026 #KombeLaMuungano #SokaLinatuunganisha

(Feed generated with FetchRSS)