#HABARI: Nauli mpya iliyotangazwa na Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Ardhini (LATRA), kupitia gazeti la serikali toleo la April 17 mwaka huu, kwa Daladala na mabasi ya kwenda mikoani imeanza kutumika nchi nzima, ambapo baadhi ya daladala jijini Dar es Salaam zimeongeza shilingi mia moja.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *