Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Hajati, Zainabu Tellack amewahimiza wafanyakazi kutekeleza majukumu yao kwa uadilifu na weledi ili kuepusha malalamiko kutoka kwa wananchi, huku Wafanyakazi wa majumbani mkoani Lindi, kupitia Chama cha Wafanyakazi wa majumbani Mkoa wa Lindi (CHODAU), wakitoa wito kwa waajiri na wafanyakazi kuhakikisha wanafuata na kutekeleza mkataba wa Shirika la Kazi Duniani (ILO) namba 189 unaohusu haki na viwango vya kazi kwa wafanyakazi wa majumbani.
(Feed generated with FetchRSS)