Kuelekea katika Maonesho na Mnada wa Kimataifa wa Mifugo ‘Tri-Nations Livestock Expo’ utakaofanyika kuanzia Juni 19 mkoani Pwani, ni vyema wafugaji na wawekezaji kufahamu kiundani faida na umuhimu wa lishe na mabadiliko yake kwa ajili ya ufugaji wenye tija.
Haoa, Lucy Msanga ambaye ni Meneja Uhusiano wa Mteja kutoka kampuni ya lishe ya THRISHOO / HESTER anatueleza umuhimu huo.
Mhariir @moseskwindi
(Feed generated with FetchRSS)