Usalama kwa wafanyakazi wa kampuni za Said Salim Bakhresa ni kipaumbele kisicho na mbadala na ili kuweza kupata ufanisi wa hali ya juu wa utendaji kazi sambamba na kuhakikishiwa usalama na afya bora kazini wafanyakazi wa kampuni za SSB hupitishwa katika hatua hizi za usalama.

Zisikilize kutoka kwa Afisa Mwandamizi, Shebuge.

Mhariri @moseskwindi

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *