Waziri wa Nishati, Deogratius Ndejembi amemtaka mkandarasi wa kampuni ya Dongfang Electric kutekeleza mradi wa kuzalisha umeme wa Megawati 49.5 katika maporomoko ya Mto Malagarasi mkoani Kigoma badala ya kutoa visingizio huku akiwa ameshalipwa fedha ya awali zaidi ya Dola za Marekani Milioni 20.
Mhariri @moseskwindi
(Feed generated with FetchRSS)