AZAM FC: Baada ya kuchezea kichapo kutoka kwa TRA United, Azam FC sasa yaanza kuipigia hisabati Pamba Jiji FC kuelekea mchezo wao utakaopigwa Mei 14 kwenye Dimba la Azam Complex, Chamazi.

Afisa habari wa timu hiyo Hasheem Ibwe amesema licha ya ugumu wa Pamba Jiji, wao wataingia kwa nguvu zote ili kulinda heshima ya dimba la nyumbani akisema “…tutajimwaga, tutajiachia”.

Nao mashabiki wa timu hiyo wanasema “…yaliyotokea yametokea, yamepita, lazima tukaze buti…. Chamazi Complex ndiyo uwanja wetu wa machinjioni”

#NBCPremierLeague #NBCPL #AzamFC #Ibwe

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *