Timu ya Dodoma Jiji imetoa kichapo cha mabao 3-2 dhidi ya Yanga katika mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa Uwanja wa Airtel.
Kabla ya kichapo cha leo Yanga ilikuwa imecheza mechi 42 za ligi bila kupoteza.
FT: Dodoma Jiji 3-2 Yanga
⚽️⚽️’ Okello
⚽️’ Mwamnyeto (OG)
⚽️’ Kibuta
⚽️’ Waziri

(Feed generated with FetchRSS)