#CRDBBankFederationCup Kuelekea mechi nne za Kombe la Shirikisho la CRADB Bank wikendi hii, Afisa Habari wa TFF, Cliford Ndimbo anaeleza kitu kuhusu maandalizi.
Mechi hizo ni:-
JKT Tanzania vs Yanga SC
Coastal Union vs Singida BS
Mashujaa FC vs Azam FC
Simba SC vs TRA United.
(Feed generated with FetchRSS)