Tanzania imeendelea kuimarisha hadhi yake duniani baada ya mapato ya utalii kufikia dola bilioni 4.4 mwaka 2025 na kushinda tuzo mbalimbali za kimataifa, huku Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Ashatu Kijaji akisema mafanikio hayo yameongeza ushindani wa sekta, uwekezaji na idadi ya watalii nchini.
(Feed generated with FetchRSS)