June Mosi Mwaka huu, msimu mpya wa ununuzi wa zao la ufuta kwa Mwaka 2026, unatarajiwa kuanza rasmi mkoani Lindi, ambapo zaidi y…June Mosi Mwaka huu, msimu mpya wa ununuzi wa zao la ufuta kwa Mwaka 2026, unatarajiwa kuanza rasmi mkoani Lindi, ambapo zaidi y…

June Mosi Mwaka huu, msimu mpya wa ununuzi wa zao la ufuta kwa Mwaka 2026, unatarajiwa kuanza rasmi mkoani Lindi, ambapo zaidi ya tani 50,000 za ufuta na tani 6000 za mbaazi zinataraiwa kupokelewa kutoka kwa wakulima, huku Serikali ya Wilaya ya Lindi ikifanya ukaguzi wa maghala ya kuifazia mazao hayo ili kuhakikisha yanakuwa sehemu salama.

Kuatia kuanza kwa msimu wa ununuzi wa zao la ufuta, Kamati ya ulinzi na usalama Wilaya ya Lindi, ikiongozwa na Mwenyekiti wake ambae ni Mkuu wa Wilaya hiyo, Victoria Mwanziva, inafanya ziara ya ukaguzi wa maghala Makuu manne ya Chama Kikuu cha Ushirika Lindi Mwambao ili kuhakikisha mazao ya wakulima yanakuwa sehemu salama na kuyasimamia kwa weledi.

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *