Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Kilimanjaro kimesema mafanikio makubwa ya maendeleo yanayoonekana mkoani humo yametokana na kazi kubwa inayofanywa na Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kupitia utoaji wa fedha nyingi kwa ajili ya utekelezaji wa miradi inayowagusa moja kwa moja wananchi.
(Feed generated with FetchRSS)