#HABARI: Vichwa vya mbuzi na ng’ombe pamoja na miguu vinaendelea kuuzwa kiholela karibu na Machinjio ya Vingunguti Manispaa ya Ilala jijini Dar es Salaam, huku baadhi ya wakazi wa jiji wakionekana wakifanya manunuzi ya nyama hizo ambazo usalama unatia shaka ikiwa ni siku ya tatu tangu kuchinjwa wanyama wengi kwa ajili ya wahitaji katika kusherekea Eid al Adha.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *