Kaimu mkurugenzi Dkt Crispin kahesa amewataka waunguzi wa ocean rod kufanyakazi kwa uadilifu na mapenzi katika kuwahudumia wagonjwa huku akiwapongeza kwa kujiendeleza kielimu inayowawezehsa kutekeleza majukumu yao kwa ufanisi zaidi
Hayo ameyasema jijini dar es salaam katika maadhimisho ya siku ya wauguzi duniani iliofanyika katika hospitali ocean road
Amesema wauguzi wanapitia mazingira magumu katika kazi lakini amewaomba kufanyakazi kwa moyo kwani kuwahudumia wagonjwa ni matendo mazuri yanayompendeza Mungu na ni ibada pia
(Feed generated with FetchRSS)