DRC | ” mara ya kwanza Afrika inashiriki Kombe la Dunia ilicheza Morocco”, Mkuu wa UFM Radio, @baruan_muhuza akizungumzia historia ya soka la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na namna taifa hilo lilivyoendelea kuzalisha vipaji hadi kufanikiwa kuwa miongoni mwa washiriki wa fainali za Kombe la Dunia mwaka huu.

Amesema wakati huo taifa hilo likijulikana kama Zaire, chini ya uongozi wa Mobutu Sese Seko, ambaye alikuwa mpenzi mkubwa wa soka na shabiki wa timu ya taifa ya Leopards, Baruan anaeleza kuwa kiongozi huyo alitoa mchango mkubwa katika maendeleo ya mchezo huo nchini kwa kuwekeza katika timu ya taifa, ikiwemo juhudi za kutafuta makocha na kuimarisha mazingira ya ushindani yaliyoisaidia DRC kujijengea heshima katika soka la Afrika.

Imeandaliwa na @rajjmsangi

#MakalaMaalumDRC #AzamSports

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *