Serikali imependekeza kuongeza kodi kwa makundi tisa ya bidhaa mbalimbali katika mwaka wa fedha 2026/2027. Miongoni mwa bidhaa zitakazoathiriwa na ongezeko hilo ni magari yaliyotumika, vifaa vya urembo, matunda bandia na maua bandia.

Akiwasilisha Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2026/2027, Waziri wa Fedha, Khamis Mussa Omar amesema hatua hiyo ni sehemu ya juhudi za serikali za kulinda mazingira na kupunguza athari za kimazingira zinazotokana na matumizi ya baadhi hizo.

#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *