KOMBE LA DUNIA 2026 | “Magoli 38 yameshafungwa katika mechi 12 ambazo zimeshacheza hadi sasa…..”
Hivi ndivyo Fatma Chikawe anavyotufungulia uchambuzi kuelekea mechi ya kwanza kwa leo, kati ya Hispania vs Cape Verde….

Upande huu wa Kiswahili wachambuzi ni James Samwel na Godlisten Muro ambaye anasema “..huenda rekodi ya mabao kwenye fainali za Qatar, ikavunjwa mwaka huu”

Je, wewe unaonaje???

Tuko LIVE #AzamSports2HD kwa Lugha ya Kiswahili na #AzamSports4HD kwa Lugha ya Kiingereza

#FIFAWorldCup2026 #WorldCup2026 #WeAre26 #MechiZote104LiveAzamTV

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *