Baraza la umoja wa Chama cha mapinduzi Mkoa wa Manyara limewataka vijana na jamii kwa ujumla kujiepusha na siasa za chuki na zenye matamko yenye kauli zinazoharibu Mila na desturi za watanzania huku likipongeza hatua mbalimbali za maendeleo zinazochukuliwa na serikali nchini katika kuimarisha amani.

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *