Mbunge wa Geita Vijijini Joseph Kasheku Msukuma akichangia Bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2026/2027 bungeni jijini Dodoma Juni 16, 2026 ameipongeza Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA kwa kuwa karibu na wafanyabiashara na kuwasikiliza pamoja na kutatua changamoto zao hali ambayo imeleta utulivu katika ukusanyaji kodi.
(Feed generated with FetchRSS)