Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita, SACP Safia Jongo amewataka wananchi kujiweka mbali na propaganda za mitandaoni na badala yake wajikite katika kuilinda na kuitunza amani ya nchi.
Akizungumza mkoani Geita, Kamanda Jongo amesema Jeshi la Polisi linafuatilia taarifa mbalimbali zinazoenezwa mitandaoni na kuratibiwa na watu waliopo ndani na nje ya nchi.
Taarifa ya Ester Sumira.
Mhariri @moseskwindi
#AzamTVUpdates
(Feed generated with FetchRSS)