Kampuni ya Said Salim Bakhresa Food Products imepewa Tuzo ya kutambuliwa miongoni mwa kampuni zinazotekeleza wajibu wa ulipaji kodi kwa mujibu wa vigezo vilivyopo.
Mkurugenzi wa Bakhresa Food Products, Salim Aziz amepokea tuzo hiyo iliyokabidhiwa kwake na Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Ali Mwinyi
Mhariri @moseskwindi
(Feed generated with FetchRSS)