Mwenyekiti wa kampuni za Said Salim Bakhresa (SSB), Said Salim Bakhresa amepewa Tuzo ya Mlipa Kodi Mwenye Hadhi ya Juu katika Maadhimisho ya Miaka 30 ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA).

Bakhresa ameshinda tuzo hiyo iliyotolewa na Rais Samia Suluhu Hassan kwa mwaka wa pili mfululizo baada ya TRA kumtunuku tuzo kama hiyo katika mwaka wa fedha uliopita wa 2024/2025.

Mhariri @moseskwindi

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *