SERIKALI imezindua Mwongozo wa Mpango Jumuishi wa Usimamizi wa Huduma za Usafi wa Mazingira, ikieleza kuwa hatua hiyo ni sehemu ya jitihada za kuimarisha usafi wa mazingira nchini, kulinda afya za wananchi na kuhakikisha huduma jumuishi za usafi zinawafikia Watanzania wote.

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *