Hayo yamebainishwa na Afisa Mpimaji Mwandamizi wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA), Hussein Shamdas kwenye maonesho ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (Sabasaba)
Amesema kuwa mfumo huo unapanga na kusimamia miradi ya umeme vijijini ikiwemo miradi iliyomalizika na inayoendelea kutekelezwa
(Feed generated with FetchRSS)