KAMWE AFUNGUKA MAFANIKIO YANGA: Meneja Habari na Mwasiliano wa Yanga SC, Ally Kamwe anasema klabu hiyo imeondoa ule mtazamo uliokuwa ukidai kwamba timu ikichukua Kombe la Mapinduzi, ni vigumu kushinda taji la Ligi Kuu.

Yanga msimu huu uliomalizika hivi karibuni, ilinyakua taji la Mapinduzi na baadae kubeba taji la NBC Premier League.

Kamwe amesema hay oleo kwenye mahojiano maalumu kupitia kipndi cha U-LIVE cha @ufmradiotz

(Imeandikwa na @allymufti_tz)

#YangaSC #Kamwe #UFM #ULIVE

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *