NONGWA YA YANGA KWA AL AHLY: “Mwakani yeye, Singida watakutana huko Confederation”
Kama ulidhani Yanga iliridhika na matokeo ya Al Ahly dhidi ya FAR Rabat, ulijidanganya. Msiki Meneja Habari na Mwasiliano wa Yanga SC, Ally Kamwe akifunguka namna mambo yalivyokuwa visiwani Zanzibar wakati wao wakimenyana na JS Kabylie ambapo walishinda kwa jumla ya magoli 3-0 kwenye mchezo wa mwisho wa kundi ‘B’ kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika msimu uliopita.

Kamwe amesema hayo leo kwenye mahojiano maalumu kupitia kipndi cha U-LIVE cha @ufmradiotz

(Imeandikwa na @allymufti_tz)

#YangaSC #Kamwe #UFM #ULIVE

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *