#KombeLaDunia2026: Kutana na Idris Bin Idd wa #AzamTV akitaja msururu wa timu alizoshabikia kwenye Kombe la Dunia 2026.
Mwamba alianza na Barzil, akahamia Morocco, mambo yalivyokuwa magumu akaenda Ufaransa kisha England.
Kidume hiko sasa kipo Hispania.
Zitaje timu ulizopita mpaka kufikia fainali…????
#FWC26 #FIFAWorldCup #WeAre26 FIFAWorldCup2026NyumbaniAzamTV MechiZote104LiveAzamTV
(Feed generated with FetchRSS)