Taarifa ya Wizara ya Afya ya Iran iliyotolewa leo Julai 17, 2026 imeeleza kuwa watu wasiopungua 38 wameuawa na zaidi ya 400 kujeruhiwa kufuatia mashambulizi ya Marekani tangu Juni 22 mwaka huu.

Kwa mujibu wa Msemaji wa wizara hiyo, Hossein Kermanpour, miongoni mwa waathirika hao kuna wanawake 22 waliojeruhiwa, wanawake watatu waliouawa, watoto tisa walio chini ya umri wa miaka 18 waliojeruhiwa, na mtoto mmoja mwenye umri chini ya miaka 18 aliyepoteza maisha.

#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *