SAFARI FIELD CHALLENGE 2026
Je, umewahi kujua tafiti za duma na simba zinasema nini juu ya wanyama hawa!?
Unajua nini tafiti hizi zimeona kwa wanyama hawa, na umuhimu wao katika ecologia!?
Usiache kufuatilia kwa karibu kufahamu kwanini tunamlinda duma, na nini madhara yake akikosekana katiko ecologia zetu.
Endelea kutufuatilia kila Jumamosi na Jumapili saa tatu usiku. Azam sports 3 HD channel number 113
Moja kwa moja kutoka ndutu kwa hisani ya ……..
#safarifieldchallenge
#ngorongorobeyondthecrater
#tanapago
#ndutusafarilodge
#toyotatanzania
#azamtvburudanikwawote
@wizarayamaliasilinautalii
@visitngorongoro
@tanzaniaparks
@tzguideawards
@serengeticheetahproject
(Feed generated with FetchRSS)