TAIFA CUP 2026 | Mgeni Rasmi, Waziri wa Habari. Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda amewasili katika viwanja vya Chinangali.
Mchezo unaoendelea kwa sasa ni Dodoma vs Singida (Wanaume)
Q1: Dodoma 31-2 Mwanza
Tuko LIVE kupitia #AzamSports3HD
đŸ“¸ Rajj Msangi
#TaifaCup2026 #TBF #Azamtvsports

(Feed generated with FetchRSS)