Umewahi kufikiri kuhusu sehemu moja ambayo ndani yake unakutana na volkano, binadamu wa kwanza, tamaduni za jamii za kale pamoja na mazingira ya kipekee?

Sehemu hiyo ni makumbusho ya Ngorongoro Lengai Global Geopark yaliyopo umbali wa takribani kilomita kumi kutoka mji wa Karatu mkoani Arusha. Eneo hili lina vivutio mbalimbali vilivyoipa Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro hadhi ya Geopark kutoka Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO).

#AzamTVUpdates
Mhariri : John Mbalamwezi

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *