Kupitia maadhimisho ya Wiki ya Huduma za fedha Yanayoendelea Usagara jijini Tanga Benki kuu ya Tanzania BOT imewasihi Watanzania kuendelea kutumia huduma za kifedha kidijitali ili kuepuka Hasara na hatari zitokanazo na matumizi ya pesa taslimu.

#starTvUpdate

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *