Katika safari yake ya kuanza kazi ya ushonaji nguo, Mbunifua wa mavazi ambaye pia ni Mkurugenzi Mkurugenzi Mtendaji wa Anna Fashion Academy na Anna Collection, Anna Lunguaya, anaeleza namna alivyopitia changamoto na kuamua kuzikabili katika kufikia mafanikio.
Amesema kuwa uthubutu wake umetokana na kutambua maono makubwa aliyokuwa nayo, licha ya kukosa baadhi ya vifaa muhimu vya kufanikisha kazi zake za ubunifu.
Msikilize.
✍ Roland John
Mhariri | @rajjmsangi
#AzamTVUpdates
(Feed generated with FetchRSS)