Maziko ya mwasisi wa CHADEMA, marehemu Edwin Mtei yamefanyika leo Januari 24, 2026 katika makaburi ya familia nyumbani kwake Tengeru mkoani Arusha.
Maziko hayo yameongozwa na Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania, Askofu Alex Malasusa huku waombolezaji mbalimbali wakishiriki akiwemo Waziri Mkuu, Dokta Mwigulu Nchemba na Mwenyekiti mstaafu wa CHADEMA, Freeman Mbowe.
Mhariri @moseskwindi
(Feed generated with FetchRSS)