Mkurugenzi wa halmashauri ya Mtwara Mikindani mkoani Mtwara ametoa vitabu vya kiada na ziada ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa mpango wa kuboresha elimu mkoani humo.

Mwenzetu John Kasembe amezungumza na walimu na wanafunzi kuhusiana na mkakati huo.

Mhariri @moseskwindi

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *