#HABARI: Mti mkubwa umeanguka katikati ya Barabara Kuu ya Morogoro–Dar es Salaam katika eneo la Mzambarauni karibu na stendi ya Msamvu, hali iliyosababisha barabara hiyo kutopitika kwa muda na kuzua foleni kubwa ya magari.

Jeshi la Uokozi na Zimamoto wakishirikiana na Jeshi la Polisi wamendelea na jitihada za kuuondoa mti huo ili kurudisha hali ya usafiri katika hali ya kawaida, huku watumiaji wa barabara hiyo wakishauriwa kuwa wavumilivu wakati zoezi la uokoaji likiendelea.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *