Kujiunga na Bima ya Afya kwa Wote ni jambo la msingi kwa Watanzania wote-Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba.
Dkt.Mwigulu Amesema hayo wakati akijibu swali la Nancy Nyalusi, Mbunge wa Viti Maalum katika kipindi cha Maswali ya Papo kwa Papo kwa Waziri Mkuu.
#StarTvUpdate
(Feed generated with FetchRSS)