Wasichana wanaoanza ngono katika umri mdogo wametajwa kuwa hatarini zaidi kupata saratani ya kizazi hali inayotajwa kusababishwa na virusi vya papilloma.
Mtaalamu na Mtafiti wa Saratani ya Mlango wa kizazi kutoka Taasisi ya Saratani (Ocean Road), Dkt. Kandali Samwel anafafanua zaidi hatari hiyo.
Msikilize
✍ Halima Abdallah
Mhariri @moseskwindi
#AzamTVUpdates
(Feed generated with FetchRSS)