#HABARI: Waziri Mkuu Mhe.Dtk. Mwigulu Nchemba akimkabidhi tuzo maalumu Braydon Bent, shabiki maarufu duniani wa Manchester City kutoka Uingereza kama sehemu ya kutambua mchango wake katika kutangaza utali wa Tanzania kimataifa.

Wakati wa hafla ya utoaji tuzo za Kitaifa za Uhifadhi na Mazingira (The Serengeti Awards) Jijini Arusha, hafla inayowakutanisha wadau mbalimbali wa utalii na uhifadhi.
.

Powered by #MCHEZOSUPA

‎JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
‎-
‎Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

‎#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
‎Follow @itvtz @radioonetanzania
‎@capitaldigitaltanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *