Mshauri Mwelekezi wa stadi za Maisha, Elibariki Mkumbo amesema katika maisha haijalishi upo kwenye hali gani ya kifedha au kiafya, ili ufanikiwe unahitaji kuwa na moyo wa kukubali hali uliyonayo kimwili au kimaisha na si kuwa na vitu vingi, ili uweze kufanikiwa katika mipango uliyojiwekea.
Elibariki amesema hayo leo kwenye mada maalum kupitia kipindi cha #HelloWikiendi kinachoruka kila Jumamosi na Jumapili saa 12:00 asubuhi kupitia UTV chaneli namba 108 #AzamTV
✍Ibrahim Kilumbo
Mhariri | @abuuyusuftz
#AzamTVUpdates
(Feed generated with FetchRSS)