#MICHEZO: Afisa Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Yanga, Ally Kamwe, amelaani kitendo alichofanyiwa Mwenyekiti wa Klabu ya Simba, Murtaza Mangungu, na Mashabiki baada ya mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika uliochezwa Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam.

Kamwe amesema kwamba Yanga wanashikilia msimamo wa kudumisha heshima na usalama kwa viongozi wa klabu nyingine, na kwamba kitendo cha kuvamiwa na mashabiki hakikubaliki na hakina nafasi katika mchezo ya soka.

Amesema kuwa klabu ya Yanga inasisitiza kwamba michezo ibaki shindano la kitaalamu na la heshima, na siyo jukwaa la vurugu.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
Follow @itvtz @radiooneta

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *