#MICHEZO: “Nafasi bado tunayo tofauti yetu ni ndogo ya alama tatu, tunamchezo wa nyumbani bado nafasi ipo, kundi letu mtu yeyote anaweza akasonga mbele” Nassoro Idrissa-Mwenyekiti wa Azam FC
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
Follow @itvtz @radiooneta