Uwekezaji mdogo na upungufu wa walimu vimetajwa na wadau wa elimu kuwa chanzo cha wanafunzi wengi waliohitimu kidato cha nne kupata ufaulu usiotosheleza kwao kujiunga na kidato cha tano.

Wadau wanaeleza haya baada ya Baraza la Mitihani nchini (NECTA) kutangaza matokeo yanayoonesha kuongezeka kwa ufaulu kufikia asilimia 94.98, huku nusu ya watahiniwa wakiwa wamepata daraja la nne na sifuri.

#AzamTVupdates
Mhariri | John Mbalamwezi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *