CARBAO Cup Nusu Fainali Jumanne hii
Arsenal watakuwa nyumbani Emirate stadium wakiwakaribisha Chelsea.
Katika mchezo wa mkondo wa kwanza Arsenal akiwa ugenini alishinda 3 -2.
Je, watashinda nje ndani ama Chelsea kufanya comeback?
Mchezo huu utachezwa kuanzia saa 5:00 usiku na kuruka mbashsara kupitia AzamSports1HD.
#CarabaoCup #Arsenal #Chelsea #Azamtvsports