KUTOKA CONGO: Kikosi cha Singida BS kilivyoianza safari ya kurejea Tanzania kikitokea Congo Brazzaville ambako kilicheza mechi ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya wenyeji wao AS Otoho.

Katika mechi hiyo Singida BS imepoteza kwa magoli 2-1.

#CAFCC #KombeLaShirikishoAfrika

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *